Baada ya kuharibika kwa mimba ya kwanza ya mchumba Nay Wa Mitego, Siwema, hatimaye mwanadada huyo anatatarajia kuwa mama tena na anatarajia kujifungua hivi karibuni.
Nay wa Mitego akiwa na mpenzi wake Siwema
“Umemuona mama kijacho,” Nay aliiambia Bongo5 baada ya kutembelewa na mpenzi wake katika uwanja ndege wa Mwanza akijiandaa kuekelea Dar es salam, huku akicheka na kuendelea kumpiga mabusu mpenzi wake huyo anayeishi jijini humo.
Gari ambalo amekujanalo mpenzi wa Nay
Nay akimuaga mpenzi wake
Nay akizungumza na mpenzi wake.
BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro











Post a Comment
Post a Comment