Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Pichani ni mabasi mawili ya Simba Mtoto na Dar Express yakiwa yamepigana pasi  maeneo ya Muheza Mkoani Tanga mchana wa leo.

Haijafahamika mara moja madhara ya ajali hii wala chanzo chake kwa kuwa ripota wetu hakubahatika kumpata msemaji wa polisi.  Hata hivyo blog ya Jamii inaendelea na juhudi za kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga kwa taarifa zaidi. Tuendelee kuvuta subira.

BONYEZA HAPA

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top