Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Diamond platnumz atakuwa miongoni mwa wasanii wataotumbuiza kwenye uzinduzi wa msimu mpya wa shindano la Big Brother Africa utakayofanyika jumamosi hii, September 7 nchini Afrika Kusini.

Akizungumza na bongo5 leo, Meneja wa staa huyo Babu Tale amesema Diamond atarejea leo akitokea nchini Ujerumani ili kujianda na show hiyo.
''Diamond anarudi leo saa tano usiku atakuwa kasharudi bongo kwa sababu weekend hii tunaperform kwenye Big Brother Africa. Tukitoka South Africa tunakwenda Nairobi kwenye Coke Studio kurekodi. Tukitoka Nairobi tunakwenda Uingereza kwenye show ya Africa Unplugged, Kwa hiyo ratiba yetu ipo tight,''amesema Tale.
  • Bonyeza Hapa


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top