Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Tokea nicki minaj aanze kujulikana kwenye tasnia hii ya muziki , ni wazi kujua kwamba minaj anamtindo wa kufanya plastic surgery  kwenye mwili wake kama hauamini jaribu ku-google picha zake za zamani. Taarifa ni kwamba Nicki Minaj anasumbuliwa na maumivu kwenye tako lake baada ya tako  hilo kuhama upande wakati akiperform kwenye Fashion Rocks  siku ya jumanne usiku. Mtandao wa MediaTakeOut umeripoti..




Taarifa zinasema Minaj alijiumiza wakati akijaribu kujibinua. Watu walisikia kelele kwa wakati huo na wengi wao walizani limepasuka sababu tako hilo ni feki. 



Ukiangalia hii picha ya juu unagundua upande wake wa kulia tako lake halijakaa vizuri. Je, Unaongelleaje hili swala la plastic Surgery ?BONYEZA HAPA


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top