Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This



Mwanadada Iggy Azalea mkili wa miondoko ya Hip Hop nchini Marekani hivi karibuni yaliibuka maneno mengi juu yake  kutoa "video ya mapenzi" na kusambaa karibia Dunia nzima na watu walikaa tayari kuona Video hiyo .

Lakini imekuwa tofauti kwa  watu  walio tegemea kuwa Iggy Azalea atachia video hiyo watu walianza kuhoji maneno kibao kuhusu video hiyo na kusema .

" watu wakiwa mastar kidogo tu wanaanza kufanya mambo ya kijinga "
" Ustar unapo zidi ndipo mambo kama hayo uanza" na wengine walisema mbona mastar kibao nao walitoa zakwao kama ( Kim Kardashian’s tape ) kwanini Iggy????



Watu mbali mbali nchini Marekani na hata nje ya marekani walijiuliza maswali kibao juu ya swala hilo lakini walishindwa kupata majibu sahihi.  Iggy  amua kufunguka ukweli juu ya hilo swala


" I dont have a sex tape but for the record." Anyone who releases or attempts to make profit off someone else's intimate moments against their will is a sex offender." & it honestly makes me sick to see the media encourage any other attitude towards those sorts of people, we should want to protect our women" and i really hope that america will follow Europe and their laws to better protect peoples privacy and fundamental rights."and on that note, I'm off to get a manicure. peaaaaccceeeeeee outtttttt *drops the mic*" Aliandika  mwanadada huyo kwenye mtandao wake wa kijamii wa Twitter.

BONYEZA HAPA




Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top