Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Ajali mbaya na ya kutisha imetokea leo alfajiri katikati ya madaraja mawili ya chuma yaliyoko katika eneo la Kawe pembeni ya kambi ya JKT Mlalakuwa,


 
Dar es Salaam. Ajali hiyo imesababisha dereva kupoteza maisha na kuacha vipande vya ubongo vikining'inia katika moa ya mdaraja hayo baada ya gari hilo aina ya Toyota Celica GTR lenye namba za usajili 
T220ABL kugonga na kisha kuingia kwenye ukingo wa daraja hilo na kisha kutumbukia kwenye mto.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top