Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Basi la la kampuni ya Super Feo linalofanya safari zake Songea- Mbeya limepata ajali mchana huu maeneo ya Shule ya Tanga kilomita chache kutoka katikati ya manispaaa ya Songea. Taarifa za awali zinaarifu watu wawili wamepoteza maisha na idadi ya kamili ya majeruhi bado haijajulikana ila ni zaidi ya 20 Endelea kufuatilia blog hii kwa updates zaidi na picha za ajali hiyo...!     

 BONYEZA HAPA KWA PICHA ZA AJALI HIYO
 
BONYEZA HAPA

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top