Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 
Watu 2 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 20 wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Super Feo kupinduka katika eneo la Sanangula nje kidogo ya mji wa Songea.


Taarifa za awali zinaarifu watu wawili wamepoteza maisha na idadi ya kamili ya majeruhi bado haijajulikana ila ni zaidi ya 20 Endelea kufuatilia blog hii kwa updates zaidi  
 Hapa ni stend kuu ya mkoa wa Ruvuma na hii ndiyo gali iliyopata ajali na hapa likiwa  stendi kabla ya kuanza safari yake(Picha zote na demasho.com)
 Mmoja ya majeluhi
 

 Basi lililopata ajali

 Waliolala ni baadhi ya waliokuwa kati ya wasafiri ambao inasadikiwa kupoteza maisha katika ajali

  • Bonyeza Hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top