Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Ajali hiyo ya Lori la Mafuta lililokuwa likielekea Nchini Rwanda, imetokea Septemba 28,2014,eneo maarufu la Machinjioni-barabara ya Benaco - Rusumo wilayani Ngara mkoani Kagera ambapo chanzo chake ni kufeli mfumo wa breki.

Licha ya kujeruhi utingo mkononi na kuleta uharibifu wa barabara kwa mafuta iliyobeba ya diseli kumwagika,baadhi ya Wananchi walikosa uzalendo kwa  kuiba mafuta yote yaliyokuwa katika tenki la lori hilo.


Picha zote Na:-Mwanawamakonda 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top