
Siku moja kabla ya msanii Linex kuachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la wema kwa ubaya siku ya kesho kuizindua rasmi ambayo asilimia kubwa alipewa mashairi na mbunge wa kigoma kaskazini Linex ameamua kumshukuru mbunge huyo kupitia mtandao wa instagram kwa kuandika kama ifuatavyo.

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment