Moto uliozuka baada ya milipuko ya gesi nchini Taiwan.
Magari, barabara vikiwa vimeharibiwa na milipuko hiyo.
Mmoja wa majeruhi akitolewa eneo la mlipuko.
Maafa zaidi yaliyosababishwa na milipuko hiyo.
WATU 22 wamefariki dunia huku 270 wakijeruhiwa baada ya milipuko
kadhaa iliyosababishwa na kuvuja kwa gesi kutokea katika jiji la
Kaohsiung nchini Taiwan jana usiku. Mlipuko huo uliosababisha moto
mkubwa uliopindua magari, kuharibu barabara na baadhi ya majengo.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro












Post a Comment
Post a Comment