Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Wanaume kwa kawaida hutumia mbinu nyingi pale wanaposaka papuch. 
Mdada utasifiwa hadi sifa ambazo hata malaika hana! Mara romantic eyes... sijui nini nini mouth (mnajua wenyewe mnavyoita) nk nk. 

Wakati huohuo hata anayesifiwa anajua kabisa hizo sifa hana. Lakin anadhani pengne anayemsifia anaziona maana kuna vimisemo vya kudanganyana kama Yako machoni mwa mtu, mapenz hayana formula nk. nk
Lakini niwaeleze tu hasa wadada ukiona umesifiwa sifa hadi ambazo huna ujue lengo la msifiaji ni kukugegeda tu na akishafanya hivyo lazima akupige chini labda kama ameona kingine cha ziada huko faraghani. 
Jihadharini na sifa zisizo za kweli.

Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyeza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top