Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Victoria ni mji mkuu wa visiwa vya Ushelisheli katika Bahari ya Hindi. Mwanamfalme wa Uingereza William na mkewe Kate walifanya fungate kwenye jumba moja kwenye mwambao wa mji huo, ambalo limeripotiwa kuwagharimu dola 5,000 za kimarekani kwa siku. Kwa raia wengi wa Ushelisheli, hata kama nchi yao ina mandhari ya kuvutia, maisha ni ghali kupindukia.
CHANZO; BBC SWAHILI
  • Bonyeza Hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top