
Kampuni
ya Japan inayojulikana kama Orient Industry imeingiza sokoni midoli
yenye umbo na sura ya wasichana wenye mvuto wa aina mbalimbali, maalum
kwa wanaume kufanya nayo mapenzi kama wasichana halisi (Real Love
Dolls).
Kampuni
hiyo ilianza kutengeneza midoli hiyo tangu mwaka 1977 na imekuwa
ikiiboresha kila wakati ili kuipa uhalisia katika suala la mapenzi, na
hadi sasa meweza kuingiza sokoni midoli ya aina tatu maalum kwa ajili ya
tendo hilo.
Kwa
mujibu wa kampuni hiyo, mdoli mmoja unauzwa $ 2.7 na ukiitazama bila
kuigusa ni vigumu kuitofautisha na msichana/ mwanamke halisi mwenye
mvuto kwa kuwa mtumiaji anaweza kuigeuza katika position aitakayo.
Katika
aina hizo tatu, kampuni hiyo imeeleza kuwa aina moja imetengenezwa
katika hali ambayo itawasaidia hata wanaume ambao ni walemavu wa viungo
vya mwili.
Tayari
kampuni hiyo imeanza kusambaza matangazo ya bidhaa hiyo kwa wateja wao
huku ikipost videos kwenye YouTube kuhusu jinsi ya kuitumia midoli hiyo.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:-
0712483331.
Like ukurasa wetu wa facebook ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment