Miriam
Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kuwa licha ya penzi lake na msanii
Maximilian Bushoke kuwa na sarakasi nyingi lakini anaamini atamuoa.
Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’
Akizungumza
na paparazi wetu, Jini alisema watu wengi wamekuwa wakiuponda uhusiano
wake kwa kuwa Bushoke anaishi Afrika Kusini na kuona hakuna mapenzi ya
kweli lakini ukweli anaoujua yeye ndoa ipo.
Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’“Piga ua garagaza, Bushoke ndiye mwanaume ambaye anajua kunipa tiba nzuri ya mapenzi, hakuna mwingine, atanioa tu kwa sababu sioni kipingamizi,” alisema Jini Kabula.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:-
0712483331.
Like ukurasa wetu wa facebook ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment