Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Hiki ni kisa kilichotokea nchini Kenya na kuripotiwa na NTV, ambapo mwanamke mmoja ambaye ni mama ameamua kumfunga mwanaye kama mzigo na kumtuma kwa baba yake kwa njia ya kifurushi. Mtoto huyo wa kiume ana umri wa wiki tatu.Wafanyakazi wa kampuni ya G4S ambapo anayedaiwa kuwa baba wa mtoto huyo nafanya kazi, wamesema walikuta kifurushi ambacho hawajawahi kupokea kimetelekezwa nje ya ofisi zao na walipofungua kibox wakakuta ni mtoto amefungwa kama mzigo. kuitizama youtube bonyeza Hapa
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
 
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top