Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 Wananchi wakiwa katika soko la  Mwandiga wakiwa wanashuhudia vibada vitatu vikiteketea na moto huo ulioanza majira ya saa 11 jioni ya leo.
Chanzo cha moto huo kinadaiwa kuwa ni mafuta ya petroli yalipodondokea kwenye swichi ya Umeme kwenye duka linalouza used spare na kuanza kuwaka na kushika vibada vilivyo jirani yake badi lililofuata ilikuwa ni saloon ya kiume na la tatu lililo teketea kwa moto lilikuwa banda la kukodi cd.
Zima moto walifika nusu saa baada ya tukio lenyewe kutokea huku vibanda hivyo vitu vyote vikiwa vimeteketea kwa moto huo, Pindi kikosi cha zima moto kilipo wasili kiliweza kuudhibiti moto huo na kuweza kuuzima huku vibanda vyote vitatu vikiwa vimetekea kwa moto.
 Moto ukiteketeza vitu vilivyopo kwenye vibanda hivyo huku zima moto wakiwa hawajafika eneo la tukio
 Zimamoto wakiwa wamefika eneo la tukio na wakianza toa vifaa vyao kwa kuanza kuzima moto huo ulioteketeza vibanda vitatu katika soko la mwandiga mjini kigoma.
Mashuhuda nao wakiwa wanchukua picha kwa kutumia simu zao
 Harakati za kuuzima moto huo zikiendelea.

 Vibanda vikiwaka moto
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
 
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top