
Lulu amepost picha hiyo huko instagram na kupata comment kibao na like za kumwaga kutoka kwa fan wake

Monalisa nae katupia picha hii ilikuwa ni kwenye Fainali ya TMT 2014 iliyofanyika usiku wa kuamkia leo na mshindi aliondoka na kitita cha milioni 50 ni mshiriki kutoka mtara mwanaafa.

Post a Comment
Post a Comment