
Chris Brown alihusishwa na habari ya kuachwa na girlfriend wake Karrueche kutokana sababu za Chris kuwa busy na party sana zaidi ya kutumia muda wake kuimarisha mapenzi na kazi za muziki.
Taarifa
za mwanzo zili ripotiwa kwamba Karrueche ndiye amemuacha Chris Brown na
kubadilisha namba ya simu ili Breezy asimpate. Hivi sasa story za ndani
kutoka kwa watu wa karibu wa Chris Brown zimekanusha kuhusu Karrueche
kumtosha Chris Brown.
Watu
hao wanasema kwamba Chris ndiye aliyemuacha Karrueche kutokana na mambo
mawili. Kitu cha kwanza ni kutokana na kuwa na mawasiliano na mwanaume
mwingine ambaye Karrueche alikuwa ana mtumia hadi picha.
Sababu
nyingine ni kwamba Chris Brown hakupenda Karrueche alivyofanya
interview kuhusu clothing line yake ambapo aliacha kuzungumzia hizo nguo
na kuzungumza sana kuhusu matatizo ya uhusiano wao.
Chris aliona Karrueche anatumia advantage ya uhusiano wao kwa kuzipa kick biashara binafsi.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment