
Xavi Hernandez _Spain
Kiungo wa Barcelona na Spain Xavi Hernandez ametangaza kustaafu soka la kimataifa.
Hernandez mwenye umri wa miaka 34 alichezea
timu yake ya spain na kutwaa ushindi na pia makombe mawili ya champion
Ulaya akiwakilisha nchi yake.Akiwa na umri wa miaka 20 alianza kung'ara baada ya kuipatia ushindi timu yake katika mechi ya 15 November 2000 ambapo Netherlands ililazwa bao1-0 dhidi ya Spain.
Katika umri huo pia Xavi alikaririwa na vyombo vya habari akisema mie si mwenye miaka 20 tena lakini bado nina hamasa ya kitoto.
Hata hivyo alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka 2008 katika ligi ya ulaya wakati huo Hispania ikiwa inasubiri kutwa kikombe cha kimataifa baad aya miaka 44 tangu kungara kidunia.
Hispania ilianza tena kiombe la dunia 2014 nchini Brazil kama moja ya timu maarufu na tarajiwa lakini wakatolewa nje katika hatua ya makundi baada ya kuchabangwa 5-1 na Netherlands na kisha 2-0 dhidi ya Chile.
Xavi mwenyewe pamoja na kutangaza kustaafu sasa amesema kwua ilikuwa hatua hiyo aichukue 2012 baada tu ya ligi ya Ulaya lakini kocha wake Vicente Del Bosque alimsihi asichukue uamuzi wa kustaafu hadi nbaada ya kombela dunia jambo ambalo la kuvunja moyo kwangu na kwa wengineo pia.
"Nachukua fursa hii kumshukuru kila mmoja katika timu kwa jinsi walivyonichukulia na kuniheshimu.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment