Toyota
Coaster lenye namba za usajili T 399 BYC lililokuwa likitokea Musoma
kwenda Bunda likiwa limepata ajali mchana huu eneo la Bitaraguru, Bunda
mkoani Mara.
Baadhi ya abiria walionusurika katika ajali wakisaidiwa kutoka kwenye basi hilo.
BASI la
abiria aina ya Toyota Coaster lenye namba za usajili T 399 BYC
lililokuwa likitokea Musoma kwenda Bunda limepata ajali mchana huu na
kujeruhi abiria katika eneo la Bitaraguru lililopo nje kidogo ya mji wa
Bunda mkoani Mara.
Picha na Gwhatsapp
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro











Post a Comment
Post a Comment