Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Picha: Davido arudiana na Mwanamitindo wa Ghana anaetajwa kuwa Kim Kardashian wa Afrika kutokana kutokana na mambo yake, Nish Kards aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Davido, ameongea kupitia picha alizopost Instagram kuwa yeye na Davido ni wapenzi tena.

Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyeza hapa
Mrembo huyo ambaye alikuwa na muda mrefu hajapost picha inayohusu uhusiano huo, ameshare picha inayomuonesha Davido akimbusu, na nyingine wakiwa wameshikana mikono wakitembea na kuandika kuwa yeye ndiye dawa yake inayomtuliza maumivu.
Ujumbe mwingine unamtaja Davido kama ‘Master Key yake’.
“He like a Drug he relieves my pain.” Ameandika Nish.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top