Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Lulu awajibu wanaosema hawezi kumpata Justin Bieber
Muigizaji Elizabeth Michael aka Lulu anaendelea kuonesha hisia zake kwa Justin Bieber na sasa ameeleza kuwa atakuwa anamuandikia ujumbe kila Jumatatu.
Kupitia Instagram, Lulu amepost picha ya JB akiwa kifua wazi akipiga kinanda na kuandika ujumbe akiwajibu wale wanaodai kuwa anaota ndoto za mchana na kwamba hatampata.

“Mapemaaaa...Kabla cku haijawa ngumu..! Haya ni hv wale wa kuandika ndoto za nn cjui...Mara cjui huwezi kumpata na cjui kimepanda kimeshuka...msinijazie comment😂😂😂Acha niwape ufafanuzi kdgo...ni hv Huyu Bwana swala ya yy kupenda....nimemwachia awapende kina @selenagomez na wengine wote anaotaka kuwapenda...ila swala la yy kupendwa Aniachie Mimi....yan hyo kazi yangu....!!!
Sasa Kama ni ndoto Wallah ctaki kuamka,Kama ni ufala...yani ninaukubali kwa asilimia 150%,na mengine mengine yote...sasa Kama nakuchefua,Nina uhakika Zile ndimu za @diamondplatnumz haziwezi kukutosha mana hiki kichefuchefu co cha kuisha,bora utafute mbegu ya Malimao au mbilimbi upande kwako kbsa....Na hili Zoezi ni endelevu...yani kila Jumatatu...Kama Mshahara vile....!!! #MCM...... #Nilikuwepo”

Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyeza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top