Nisha Msanii wa Bongo Movies
Amehabarisha na Kusema Bado Hajaona Mwanaume Ambae Atakuwa Baba wa
Watoto Wake Kwani kila Mwanaume Anayemtongoza na kumtaka Kimapenzi Haoni
Kama anaweza kuwa Baba Mzuri wa familia na Kulea Watoto Ipasavyo
"Nahitaji Kutuliza Akili na Kufikiria hili Swala kwa Makini Kwani Ishu ya Kuzaa na Kulea Mtoto ni nyeti sana Nisije Nikakurupuka nikaambulia Garasha na Kuambulia Kulia" Nisha.
"Nahitaji Kutuliza Akili na Kufikiria hili Swala kwa Makini Kwani Ishu ya Kuzaa na Kulea Mtoto ni nyeti sana Nisije Nikakurupuka nikaambulia Garasha na Kuambulia Kulia" Nisha.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:-
0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

Post a Comment
Post a Comment