Msikiti
wa Mtambani,uliopo Kinondoni jijini Dar,hivi sasa umeteketea kwa moto
na kusababisha hasara kubwa ya mali zilizokuwemo, Kibonajoro iko kazini na punde itakuarifu
kilichokuwa kikijiri eneo hilo ikiwemo pia na kutaka kufahamu nini hasa
chanzo cha moto huo,uliowashtua wakazi wengi wa eneo hilo la Kinondoni
na kwingineko. 


UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:-
0712483331.
Like ukurasa wetu wa facebook ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment