Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This





Basi aina ya YUTONG la kampuni ya LIM SAFARI limepata ajali  eneo la kwa Mndulu katika wilaya  ya Korogwe mkoani Tanga mchana wa leo, hata hivyo ni jambo ya kumshukuru Mwenyezi Mungu abiria wote waliokuwa kwenye basi hilo walinusurika kifo lakini raia wawili wa kigeni waliokuwa pembezoni mwa barabara wamejuruhiwa kwa kupata michubuko sehemu mbalimbali za mwili .
Basi hilo lilikua likitoka jijini Dar es Salaam  kuelekea Arusha likiwa na namba za lenye usajili T578CQR.




UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0712483331.
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top