Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This




Binti mmoja anayefahamika kwa jina la Yvet usiku wa kuamkia jana amekunywa sumu baada ya kushtukia mpenzi wake ambaye ni msanii wa kundi la Micharazo Becka Tittle eti ana mchepuko na alipomuuliza mpenzi wake eti akatoswa, binti ndio akarudi kwao na ilipofika mida ya usiku akachanganya madawa vikiwemo vidonge vya F******l*** akanywa ndipo mama mtu akaskia mtoto wake anaita kwa mbaali akaamka na kumkuta mwanae anatoa mapovu ikabidi amsaidie kwa kumpa maziwa na baadae kumkimbiza hospitali


UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0712483331.
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top