Kwa mujibu wa kachero wa Oparesheni
Fichua Maovu (OFM) aliyepiga kambi Hong Kong, China, mwishoni mwa wiki
iliyopita Kajala alionekana na mwanaume huyo aliyetajwa kwa jina moja
la Meddy kwenye pati hiyo ambayo eti inasemekana ilihudhuriwa na watu
watatu.
Ilisemekana kwamba Kajala amejibu mapigo kwa kujinyakulia kijana kwa ajili ya kumkosha moyo na kumsafisha na skendo za waume za watu.Ijumaa Wikienda lilipomtafuta Kajala kwa njia ya simu hakuwa hewani na hata alipotumiwa ujumbe kwa WhatsApp hakujibu.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment