Hadija Shaibu ‘Dida’ akiikagua gari yake.
Zimemtembelea! Prizenta
wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa na Radio Times FM,
Hadija Shaibu ‘Dida’ ameonesha jeuri nyingine ya fedha baada ya kununua
magari mengine mawili kwa mpigo.Dida amefanya kufuru hiyo ikiwa imepita
miezi kadhaa tangu atangaze kuwa ana nyumba mbili maeneo ya Goba na
Kigamboni pamoja na kuyaanika magari manne anayomiliki (Toyota Verossa
mbili, Toyota Noah nyeusi na Toyota Vitz.) Akizungumza
na Ijumaa Wikienda, rafiki wa karibu wa Dida aliyeomba hifadhi ya jina
alisema ameshtushwa na kitendo cha shosti wake huyo kununua magari
mawili kwa mpigo kiasi cha kumfanya ahisi kuna biashara nyingine
anaifanya tofauti na utangazaji.

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment