![Bittersweet: Rodriguez celebrates with his new Real Madrid team-mates after scoring what he thought was the winner](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/08/19/1408488838948_wps_50_Real_Madrid_s_Colombian_m.jpg)
Amefungua akaunti: Rodriguez akishangilia bao lake na wachezaji wenzake wa Real Madrid
MFUNGAJI bora wa kombe la dunia lililomalizika majira haya ya kiangazi nchini Brazil, James Rodriguez alifunga bao lake la kwanza Real Madrid, lakini halikuweza kuipa ushindi timu hiyo ya Carlo Ancelotti dhidi ya Atletico Madrid katika mchezo wa kwanza wa Super Cup.Raul Garcia aliisawazishia Atletico kwa kuunganisha mpira wa kona zikiwa zimesalia dakika tatu tu mpira kumalizika.
Real wangeweza kushinda baada ya kufanya shambulizi hatari dakika za mwisho, lakini Mario Suarez aliweza kuzuia shuti lililopigwa na Dani Dani Carvajal.
Katika mchezo huo, mshambuliaji tegemeo wa klabu hiyo, Mreno, Cristiano Ronaldo alitolewa nje wakati wa mapumziko na kumpisha Rodriguez. Madrid.
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/08/20/1408489645969_wps_6_Atletico_Madrid_s_midfiel.jpg)
Ni mimi! Raul Garcia (kushoto) akishangalia baada ya kuisawazishia Atletico Madrid katika dimba la Bernabeu
![Super sub: James Rodriguez moved from Monaco to Real Madrid in the summer for £60million, and scores his first goal for the club with nine minutes remaining](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/08/19/1408488215772_wps_43_Real_Madrid_s_James_Rodri.jpg)
James Rodriguez alijiunga na Real Madrid kutokea klabu ya Monaco majira haya ya kiangazi kwa dau la paundi milioni 60
![Worry: Cristiano Ronaldo holds his back while grimacing before being substituted for Rodriguez at half-time in the Bernabeu](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/08/19/1408487587227_wps_34_epa04360400_Real_Madrid_s.jpg)
Hofu: Cristiano Ronaldo akishika mgongo wake kabla ya kutolewa na nafasi yake kuchukuliwa na Rodriguez baada ya mapumziko.
Like ukurasa wetu wa facebook ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyeza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment