Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Nyota wa muziki wa Bongo fleva, Ali Kiba akiimba huku akiwa katika pozi bila kuwaangalia mashabiki wake katika Tamasha la Usiku wa Matumaini usiku wa kuamkia leo.
Ali Kiba akionyesha manjonjo yake kwa mashabiki wake.
Mashabiki wakiwa wamepagawa na ujio mpya wa Ali Kiba.
Ali Kiba akicheza na mkali wa Komedi Bongo, Haji Salum 'Mboto'.

...Akimchezesha Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere (kushoto).
Rais wa Bongo Movie-Steve Nyerere (kushoto) akiwa amepagawishwa na muziki wa Ali Kiba, hapa anakamua wimbo wa Mwana Dar.
Ali Kiba akiwachengua mashabiki wake katika Tamasha la Matumaini.

Ali kiba akicheza na wacheza shoo wake.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
  kama huja like ukurasa wetu wa
facebook
fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top