
Chelsea wamemsajili straika wa Queens Park Rangers kwa dau la paundi milioni 10 na kupewa mkataba utakaomuweka chelsea kwa miaka 4.
Remy kabla ya kutua chelsea alikuwa anatakiwa pia na Arsenal baada Oliver giroud kuumia.
'Nina furaha na ninajivunia' alisema Remy ,27 kusajiliwa na chelsea .
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment