![]() |
| Ajali
iliyohusisha basi la HOOD na daladala maeneo ya Usa River mkoani Arusha ...Ambapo dereva wa dala dala kafariki hapo hapo |
Watu
5 wamekufa baada ya basi la Hood kwenda Mbeya kugongana na Hiace eneo
la Kilala, Arusha asubuhi hii, wengi wajeruhiwa. Taarifa zaidi baadaye.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:-
0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro









Post a Comment
Post a Comment