Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

 Dereva bodaboda ambaye jina lake halikupatikana mapema jana jioni katika manispa ya morogoro amejikuta akichezea kichapo toka kwa wanancji wenye hasira kali baada ya kukwapua simu na kukimbianayo wasalia wema walimkimbiza na kuweza kumshika na kuanza kumshushua kipigo cha mbwa mwizi kama utavyoona kwenye picha hapa chini

 Akiwa anatokwa na damu mdomoni na sehemu zingine za mwili baada ya kupingwa na raia ambao wanaojichukulia sheria mkononi. Polisi waliwahi eneo la tukio na kumnusuru kutoka kwa wananchi waliokuwa wakimuadhibu kwa hasira za kutaka kuwafundisha adabu maana imekuwa kama mtindo wao


 Akiwa hoi bini taabani huku picha ya kushoto ikimuonesha jamaa akimshughulikia dereva boboboda huyo aliyekwapua simu. picha ya kulia ikimuonyesha akiwa amejiinamia mwenyewe huku damu zikimtoka sehemu mbalimbali za mwili wake.
Akiwa hoi bin taabani alipokea kichapo.

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0712-483 331

kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top