Stori: Hamida HassanNdani ya mwezi mtukufu mastaa wengi walionekana kuvaa kiheshima huku wakijisitiri sehemu zao nyeti lakini cha ajabu mara baada ya mfungo, baadhi wamerejea mavazi yao ya kimitego.
Uchunguzi uliofanywa na Ijumaa mara baada ya Sikukuu ya Idd kupita umebaini baadhi wamerejea kwenye mavazi yao ya kihasara, mazingira yanayoashiria kuwa, walihamia kwenye mavazi ya kiheshima kinafiki.
Mrembo aliyeng’ara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan ‘Mabeto’.
Akizungumza na Ijumaa baada ya kumuona Wema Sepetu kwenye Uwanja wa
Ndege wa Julias Nyerere akiwa amevaa taiti nyekundu iliyobana makalio
yake, mdau mmoja aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema:“Dah! Mwezi umeisha sasa tutakoma kwa mavazi ya kihasara, Wema alikuwa akijisiri sana ndani ya mwezi mtukufu lakini alivyovaa leo, daah.”
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro










Post a Comment
Post a Comment