huku wakilaumu kuwa viongozi wa chadema waliwaita mizingo lakini wakasema wao ni mizigo lakini waliobaki ni vifurushi ndani ya chama.
Makamu huyo mwenyekiti aliendelea kusema na kuwambia wana kigoma kuwa aliyekuwa mwenyekiti wake mh mbowe alisema atakilinda chama cha chadema kwa hali na mali na wao wameahidi kumlinda kijana wao na mbunge wa kigoma kaskazini Mh Zitto kabwe kama mboni ya jicho lao.
Nae mjumbe wa halmashauri kuu Mzee Jafari kasisiko alimtaka Zitto kabwe ache kuchelewa ajiunge ramsi na chama chake cha ACT kwa kuendelea na harakati za kukidumisha chaama na kutetea maslahi ya wana kigoma na taifa kwa ujumla.
Baba mzazi wa Mh zitto kabwe nae amejiunga na ACT huku zitto nae kwa asilimia 96 ni member wa chama hicho cha kisiasa.
wananchi mbalimbali waliojitokeza katika mkutano huo wakifuatilia kinachoendelea.
watu wakirudisha kadi zao
Post a Comment
Post a Comment