Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 Wananchi wakiwa nje ya kanisa wanashuhudia kinachoendelea baada ya waumini wa kanisa la morovian mwananyamala msisiri kwa maadai ya kutengana kutosali pamoja.Chanzo cha habari hii kinasimulia kuwa vijana wanataka kujitenga na wazee wasiwe wanasali kwa pamoja sasa wazee nao hawataki vijana wajitege.
 Hili ndio kanisa la Morovian lililopo mwananyamala kwa msisir. sababu za vurugu hizo za kutokuelewana baina ya waumini wazee na vijana kanisani haponi maadai ya kuwa wazee hugawana sadaka zao. adaka hizo huchangishwa kwa waumini muda wa ibada na sadaka hizo wazee hugawana kitendo hicho hakijawafurahisha kabisa waumini wa kanisa hilo lililopo mwananyamala kwa msisir na kuamua wajite kabisa na kusali peke yao bila ya wazee.
Muda mchache uliopita polisi wamewasili eneo la tukio kutuliza vurugu hizo. endelea kutembelea blog hii tukujuze kinachoendelea jinsi tutakavyozipata.

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
 

kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top