MAMIA WAMZIKA HALIDA, NI YULE ALIYEFARIKI KATIKA SWALA YA IDD

Wakazi wa
mjini Iringa leo wajitokeza kwa wingi kumzika Halida Ng'anguli katika
makaburi ya Makanyagio, ni yule aliyefariki siku ya Iddi el fitri baada
ya kuanguka chooni katika uwanja wa samora jana.Waislamu nchini jana
wameungana na waislamu wenzao duniani kuswali sala ya Iddi mkoani Iringa
lakini kwa bahati mbaya muumini mwenzao Halida Ng'anguli mkazi wa
Mwangata C ambaye ni shangazi wa manahabari wa gazeti la majira Iringa
Zuhura zuhkeri kufariki dunia baada ya masaa machache toka aanguke
chooni uwanja wa Samora.



Wakazi wa mjini Iringa leo wakiwa nyumbani kwa marehemu Halida Ng'anguli Mwangata C. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment