Mtoto mdogo ambaye amezaliwa na miguu mitatu amesafirishwa kwenda
nchini Marekani kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji kuondoa miguu miwili
Ana Paula mwenye miezi 22 alikuwa ni pacha aliyeungana ambapo dada yake hakuweza kupona wakati wa upasuaji wa kuwatenganisha.
Ni mguu mmoja tu wa mtoto huyo unaofanya kazi hivyo upasuaji
atakaofanyiwa katika moja ya hospitali za watoto ni kuondoa miguu miwili
ambayo haifanyi kazi na kumwongezea uwezo wa viungo vyake kufanya kazi.
Ana na mama yake walisafirishwa kutoka Panama kwa msaada waliopatiwa na wasamaria ili zoezi zima liweze kukamilika.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment