Zimepita
siku 10 tangia Mkali wa Bongo Fleva hapa tanzania Diamond Platnumz
kuachia Video zake Mbili hewani. Tukiwa tunafuatilia kwa karibu ni Video
ipi imeonekana kupendwa na kuangaliwa sana katika mtandao wa Youtube.Video ya Mdogo mdogo ndiyo kwa sasa inaoyoongoza kwa kuangaliwa na Watu wengi kutoka ndani na Nje ya Tanzania ikiwa imefikisha zaidi ya Views 216,336 huku video ya BumBum Aliyomshirikisha Iyanya ikiwa ina Views 124,014 na zaidi, Sasa hii inaonyesha kuwa video ya mdogomdogo ndiyo inayoongozwa kwa kupendwa na kuangaliwa na watu wengi zaidi kwenye chanell hiyo
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment