Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
File photo: An MD83 plane belonging to Swiftair Ndege ya shirika la Air Algeria iliyokuwa ikitokea nchini Burkina faso kwenda Algies na kuripotiwa kupotea kwenye radar mapema leo, Imethibitishwa kuwa imeanguka.

Msako wa kutafuta mabaki ya ndege hiyo unaendelea na ilikuwa na abiria zaidi ya 100 na wafanyakazi 6.
 
 Awali mamlaka inayohusika na uchunguzi wa anga ilisema ilipoteza mawasiliano na ndege hiyo saa 0155 GMT, au dakika 55 50 baada ya ndege kupaa. Hiyo ina maana kuwa ndege hiyo imepotea kwa saa kadha kabla ya habari hiyo kujulikana.
Ndege hiyo ilikuwa ikitoka Ouagagougou, Mji mkuu wa Burkina faso kwenda nchini Algeria.
Mwezi Februari ndege ya kijeshi ya Algeria ilianguka na kuuwa watu 77 waliokuwemo.


UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331



kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top