Gari yenye namba za usajili T 959 BSS iliyosababisha ajali hiyo na Bajaj
Bajaj ikiwa imejikunja baada ya kugongwa na gari hiyo
Gari ikiwa imeharibika vibaya
Ajali
mbaya imetokea mda huu maeneo ya mbezi beach karibu na Girrafe Hotel
ambapo Gari ndogo imegonga bajaj iliyokuwa na watu wawili ndani na
inasemekana mtu mmoja amefariki dunia,na pia kuna majeruhi hali zao ni
mbaya wanakimbizwa hospitali.Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa
dereva wa gari hiyo na pia alikuwa amelewa ndipo gari ikamshinda na
kuparamia Bajaj,Tutakuletea Taarifa kamili
{Picha kwa hisani ya blog za mikoa}
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment