Calum Chambers: Akionyesha jezi yake mpya ya Arsenal.Timu ya Arsenal imekamilisha uasjili wa Calum Chambers mwenye miaka 19 wa paundi mil 16 akitokea Southampton, Calum amefunzu vipimo vya matibabu mchana
Wenger mpaka sasa amesajili wachezaji Alexis Sanchez, Mathieu Debuchy na David Ospina, Arsenal imemsajili Culum kwa kuziba nafasi ya beki mbili baada ya Bacary sagna kutimkia manchester city.
kocha wa Arsenal anamatumaini na mchezaji huyu kijana kwani alijiunga na Southampton na akaaminiwa na kuwa mchezaji aliyeonyesha kiwago bora.
calum aliwashukuru wachezaji wenzake na uongozi wa timu yake hiyo kwa ushirikiano waliompa.Calum amejiunga na Arsenal huku wiki tatu zilizopita amesajiliwa mathieu debuchy kuchukua nafasi ya Bacary sagna kwasasa nae kasajiliwa kwa kama beki wa pembeni lakini pia beki wa kati huimudu.
Chambers anatarajiwa kuanza kuichezea Arsenal kwa mara ya kwanza katika Kombe la Emirates mwaka 2014, mwishoni mwa wiki ya Agosti 2 na 3.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment