![]() |
| Basi la AM Coach likiwa eneo la tukio katika kijiji cha Sayusayu wilayani Maswa mkoani Simiyu |
Habari
za hivi punde zilizoufikia ni kwamba Basi
la AM COACH lililokuwa linatoka Meatu mkoani Simiyu kwenda Mwanza
limepinduka katika kijiji cha Sayusayu wilayani Maswa mkoani Simiyu.
Kwa
mujibu wa habari kutoka eneo la tukio watu sita wamejeruhiwa na
wamekimbizwa katika hospitali ya rufaa ya Bugando jijini Mwanza kwani
hali za ni mbaya.
Miongoni mwa waliojeruhiwa yumo mtoto mwenye umri wa miaka mitano.
Chanzo Malunde1 blog
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment