Misa ya mwisho ya kumuombea marehemu George Tyson nyumbani kwao mapema leo mchana katika kijiji cha Siaya,nchini Kenya.
Ndugu na
jamaa mbalimbali wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Marehemu
George Tysombani kwako,katika kijiji cha Siaya nchini Kenya.
Baadhi ya
Ndgu na Jamaa mbalimbali wakiwa kwenye maombolezo ya mwisho ya mazishi
ya marehemu George Tyson mapema leo mchana,nyumbani kwao
Misa ya mwisho ya kumuombea marehemu George Tyson nyumbani kwao mapema leo mchana katika kijiji cha Siaya,nchini Kenya.
Mdau
Felix akizungumza jambo na kuwashukuru Watanzania wote na wengineo
walioshiriki kwa namna moja ama nyingine katika kuhakikisha mpendwa
wao,ambaye Mwenyezi Mungu kampenda zaida anaenda kuishi kwenye nyumba
yake ya milele.
Watoto wa marehemu George Tyson wakiwa katika picha ya pamoja.
Nyumba ya
milele ya marehemu George Tyson kabla ya kulazwa.Picha kwa hisani kubwa
ya Mdau William Mtitu kutoka kijiji cha Siaya,nchini Kenya.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment