Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Imebainika kuwa Mwanadada Agness Masogange ameihama nchi na kwenda kuishi South Africa Kutokana na Skendo zinazomkabili kubwa ikiwemo ile ya Madawa ya Kulevya Ambayo alikamatwa South Africa lakini alishinda kesi na kuachiwa..
 Rafiki yake wa karibu aitwaje Jeniffer
alihabarisha mtandao huu na kusema Agness Ameenda huko ili kutulia kwasababu hapa Bongo kila mahali alikuwa ananyooshewa Vidole kitu ambacho alikuwa akipendi kabisa...Si kweli amepata Maisha mazuri kama alivyosema....

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top