Mgoni, Nuru Makala ‘Baba Eliza’ (42) aliyefumaniwa akiwa na mke wa mtu
AMA kweli duniani kuna vituko! Mkazi wa Mtaa wa Lagos, Wazo Mivumoni, Msitu wa Pande jijini Dar es Salaam, Nuru Makala ‘Baba Eliza’ (42) Jumatano iliyopita alikumbwa na majanga baada ya mwanaume aliyejulikana kwa jina la Yusuf Ally ‘Mgosi wa Ndima’ kudai amemfumania Baba Eliza akiwa na mkewe ambaye jina halikupatikana.
Usiku
wa tukio, Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ ilikuwa katika harakati za
kusaka matukio katika Jiji la Dar, ndipo ilipokumbana na kelele za watu
waliokuwa wakijibizana.
Ilibidi OFM itie timu kwenye nyumba hiyo na kukutana na chanzo kimoja kilichodai kuwa baba mwenye nyumba hiyo anadai kumfumania jirani yake na mkewe kitandani.
Ilibidi OFM itie timu kwenye nyumba hiyo na kukutana na chanzo kimoja kilichodai kuwa baba mwenye nyumba hiyo anadai kumfumania jirani yake na mkewe kitandani.
Mke wa Bw. Yusuf Ally ‘Mgosi wa Ndima’ akiondolewa eneo la tukio.
OFM YATINGA NDANI, YAKUTA MAKUBWA
OFM
ilizama ndani ya nyumba hiyo na kukuta purukushani kali ikiendelea,
Yusuf akiwa amepandwa na jazba ambapo katika kumkurupusha mgoni huyo
alijigonga mahali na kuumia usoni
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment