Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
kim
Rihanna ni kawaida yake kuchukua headlines kwa picha za ajabu akiwa sehemu mbalimbali na sio muda mrefu ametoka kutengenza habari kwa picha alizopita kwenye red carpet.
1w

Hivi sasa ni zamu ya mke wa Kanye West ambaye na yeye amepiga picha ambazo zinamuonyesha sehemu kubwa ya kifua chake na picha hiyo kuanza kusambaa kwenye mtandao.
Kanye West na Kim walikuwa kwenye show huko Tennessee ambapo Kim Kardashian alipiga picha yenye background watu walifika kwenye hiyo show.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top