Wimbo
huu ulianza kuzinduliwa siku ya Jumapili ndani ya New Maisha Club
wakati ndugu hawa walipokua wakifanya show,mashabiki wao walishangilia
sana wakati wimbo huu ulipokua unaimbwa,Wameamua kuuachia rasmi hapa
unaweza kuusikiliza na kuudownload,wimbo unaitwa Pita Mbele.
Bonyeza play kusikiliza.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment