Zitto kabwe akiwa na Baba yake Mzee Zuberi kabwe.
Mchana wa June 02 ndiyo yamefanyika mazishi ya mama mzazi wa Mbunge wa
Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe Bi.Shida Salum ambaye alifariki jana Mei 01
Jijini Dar es salaam kisha akasafirishwa kwa ajili ya kwenda kuzikwa
Kigoma. Mazishi yamefanyika saa 9 alasiri. Hiki ndicho alichokiandika kwenye ukurasa wake wa facebook.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment